Matangazo 2020

Novemba 16, 2020 Tungependa kuwajulisha wateja wote wa VENICO CAPITAL LIMITED na Exness B.V. kuwa hivi majuzi tulisasisha Mkataba wetu wa Mteja kama mojawapo ya juhudi tunazoendeleza za kuboresha utoaji wetu wa biashara na kuboresha vipengele muhimu vya uhusiano wetu na wateja wetu. Tunakuhakikishia kuwa Mkataba uliosasishwa wa Mteja hautaathiri operesheni zako za biashara na VENICO CAPITAL LIMITED na Exness B.V.. Tunakuomba ukague Mkataba wa Mteja uliosasishwa na ikiwa una maswali yoyote, tutumie barua pepe kwa support@exness.com. Timu yetu ya wataalamu wa Huduma kwa Wateja itakusaidia. Tafadhali kumbuka kuwa hakuna hatua zaidi inayohitajika kwa upande wako kwa sasa, kwani Mkataba wa Mteja uliosasishwa utaanza kutekelezwa kiotomatiki baada ya siku tano (5) za kazi. Asante kwa ushirikiano wako. Oktoba 21, 2020 Tungependa kuwajulisha wateja wote wa NYMSTAR LIMITED kuwa hivi majuzi tulisasisha Mkataba wetu wa Mteja kama mojawapo ya juhudi tunazoendeleza za kuboresha utoaji wetu wa biashara na kuboresha vipengele muhimu vya uhusiano wetu na wateja wetu. Tunakuhakikishia kuwa Mkataba uliosasishwa wa Mteja hautaathiri operesheni zako za biashara na NYMSTAR LIMITED. Tunakuomba ukague Mkataba wa Mteja uliosasishwa na ikiwa una maswali yoyote, tutumie barua pepe kwa support@exness.com. Timu yetu ya wataalamu wa Huduma kwa Wateja itakusaidia. Tafadhali kumbuka kuwa hakuna hatua zaidi inayohitajika kwa upande wako kwa sasa, kwani Mkataba wa Mteja uliosasishwa utaanza kutekelezwa kiotomatiki baada ya siku tano (5) za kazi. Asante kwa ushirikiano wako. Septemba 19, 2020 Tungependa kuwajulisha wateja wote wa NYMSTAR LIMITED kuwa hivi majuzi tulisasisha Mkataba wetu wa Mteja kama mojawapo ya juhudi tunazoendeleza za kuboresha utoaji wetu wa biashara na kuboresha vipengele muhimu vya uhusiano wetu na wateja wetu. Tunakuhakikishia kuwa Mkataba uliosasishwa wa Mteja hautaathiri operesheni zako za biashara na NYMSTAR LIMITED. Tunakuomba ukague Mkataba wa Mteja uliosasishwa na ikiwa una maswali yoyote, tutumie barua pepe kwa support@exness.com. Timu yetu ya wataalamu wa Huduma kwa Wateja itakusaidia. Tafadhali kumbuka kuwa hakuna hatua zaidi inayohitajika kwa upande wako kwa sasa, kwani Mkataba wa Mteja uliosasishwa utaanza kutekelezwa kiotomatiki baada ya siku tano (5) za kazi. Asante kwa ushirikiano wako.