Ada za Exness
Zingatia kufanya biashara, sio kulipa ada. Tumeunda mazingira ya biashara ambayo yanahakikishia wateja wetu gharama ya chini kabisa ya kufanya biashara.
Hutatozwa ada za utoaji pesa²
Tunalipa ada zako za transaction za wahusika wengine kwa hivyo huhitajiki kulipa.
Akaunti kwa kila aina ya mfanyabiashara
Chagua akaunti ambayo itaongeza mapato yako huku ikipunguza gharama.
Hutahitaji tena kulipa swaps
Tumeondoa ada za swap za instruments zetu nyingi, ikiwa ni pamoja na jozi kuu, crypto na dhahabu.
Ada na spreads
Pata maelezo zaidi kuhusu ada na spreads kwa kila instrument³
Sarafu
Fanya biashara katika soko kubwa zaidi duniani na spreads kuanzia pip 0
Pata maelezo zaidiBidhaa
Panua portfolio yako na ufanye biashara ya mafuta, gesi asilia na metali
Pata maelezo zaidiHisa
Fanya trade ya stocks zenye majina makubwa katika soko la stock la kimataifa kwa gharama ndogo za transaction
Pata maelezo zaidiFahirisi
Weka mtaji kwa kampuni kubwa zaidi katika tasnia ya teknolojia na tasnia zingine
Pata maelezo zaidiCryptocurrencies
Biashara ya swap-free ya 24/7 kwenye cryptocurrencies maarufu zaidi ikiwa ni pamoja na Bitcoin, Ethereum, Litecoin
Pata maelezo zaidiMaswali yanayoulizwa sana
Je, unalipia kutumia Exness?
Tunajitahidi kuweka gharama nafuu iwezekanavyo kwa wateja wetu, kwa kuondoa gharama nyingi zinazotarajiwa zinazotekelezwa na brokers wengine. Kama majukwaa yote ya biashara ya mtandaoni, Exness hutoza spreads na ada kwa baadhi ya instruments. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu gharama mahususi kwa kila akaunti kwenye Akaunti zetu na Kurasa za soko, pamoja na Kituo chetu cha Usaidizi.
Je, Exness inatoza ada za usimamizi?
Hapana. Hatutozi ada zozote za usimamizi na hakuna malipo ya kufungua akaunti nasi.
Boresha jinsi unafanya biashara
Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.