Fanya trade ya forex kwa spreads za chini³
Fikia soko la kimataifa la forex na ufanye trade ya jozi za sarafu maarufu zaidi duniani kwa hali zilizo bora kuliko za soko.
Nufaika kutokana na mienendo ya bei ya jozi ya sarafu
Fanya trade kwa jozi kuu, jozi ndogo, na jozi za kigeni za FX
kwa spreads za chini kabisa na leverage inayoweza kubadilika.³
Fikia mapato yako
bila ucheleweshaji usio wa lazima.
Furahia execution ya haraka na sahihi
kwenye majukwaa yanayopendelewa na wafanyabiashara kama vile MT4, MT5, Exness Web Terminal na programu ya Exness Trade.
Spreads na swaps za soko la Forex
Ishara | Spread wastani³ pips | Ada kwa kila lot/upande | Margin 1:2000 | Long swap pips | Short swap pips | Stop level* pips |
---|
Masharti ya soko la Forex
Soko la forex ndilo soko kubwa zaidi la kifedha duniani. Kwa zaidi ya kiwango cha biashara cha kila siku cha trilioni $5.5, biashara ya jozi ya sarafu hutoa fursa nyingi saa 24 kwa siku, siku 5 kwa wiki.
Saa za biashara ya forex
Saa za biashara ya forex ni kuanzia Jumapili 22:05 hadi Ijumaa 21:59, hata hivyo, jozi za sarafu zilizoorodheshwa hapa chini zina saa tofauti za biashara:
USDCNH, USDTHB: Jumatatu 00:05 – Ijumaa 21:59
USDILS, GBPILS: Jumatatu 06:00 – Ijumaa 15:59 (mapumziko ya kila siku 16:00-06:00)
Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).
Paa maelezo zaidi kuhusu saa za biashara kwenye arn more about trading hours in our Kituo chetu cha Usaidizi.
Spreads³
Spreads huelea kila wakati. Kwa sababu hii, spreads katika jedwali lililo hapo juu ni wastani kulingana na siku ya biashara iliyotangulia. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa la biashara.
Tafadhali kumbuka kuwa spreads zinaweza kupanuka wakati soko linapata liquidity ya chini, ikiwa ni pamoja na muda wa mauzo. Hii inaweza kuendelea hadi viwango vya liquidity vitakaporejeshwa.
Spreads zetu za chini zaidi huwa kwenye akaunti ya Zero na hubaki kwa pips 0.0 kwa 95% ya wakati. Instruments hizi zimewekwa alama ya kinyota kwenye jedwali.
Swaps
Swap ni riba ambayo imewekwa kwa positions zote za biashara ya forex na ambazo huwachwa wazi usiku. Swaps hutekelezwa saa 22:00 GMT+0 kila siku, bila kujumuisha wikendi, hadi position hio ifungwe. Ili kukusaidia kukadiria gharama zako za swap, unaweza kutumia kikokotoo chetu rahisi cha Exness. Tafadhali kumbuka kuwa wakati wa kufanya biashara ya jozi za forex, swaps tatu za ubadilishaji fedha hutozwa siku ya Jumatano ili kufidia gharama za malipo za mwishoni mwa wiki.
Taarifa mpya za thamani za swap zinaweza kutolewa kila siku. Ikiwa wewe ni mkazi wa nchi ya Kiislamu, akaunti zote zitakuwa swap-free.
Masharti ya margin yanayobadilika
Masharti ya margin ya akaunti yako yanalingana na kiasi cha leverage unachotumia. Kubadilisha leverage kutasababisha masharti ya margin kubadilika. Jinsi spreads zinavyobadilika kulingana na hali za soko, kiwango cha leverage unachoweza kupata kinaweza pia kutofautiana. Hii inaweza kutokea kwa sababu kadhaa zilizoelezewa hapa chini. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.
Masharti ya margin yasiyobadilika
Masharti ya margin kwa jozi za sarafu nadra daima hayabadiliki, bila kujali kiwango cha leverage unachotumia. Margin za intruments hushikiliwa kwa mujibu wa masharti ya margin ya intrument na haziathiriwi na leverage kwenye akaunti yako.
Stop level
Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.
Kwa nini ufanye trade ya soko la forex katika Exness
Nufaika kutokana na soko la sarafu na ufanye trade ya sarafu kwenye majukwaa ya biashara ya Forex ya kiwango cha juu ukiwa na broker anayechakata zaidi ya trilioni $5 katika kiwango cha biashara cha kila mwezi.
Ulinzi dhidi ya Stop Out
Fanya Trade ya Forex mtandaoni ukiwa na kipengele cha kipekee cha ulinzi wa soko ambacho hulinda positions zako dhidi ya volatility ya muda ya soko na ucheleweshaji au kuepuka stop out.
Spreads za chini na thabiti
Fanya trade kwenye soko la forex kwa gharama za chini na zinazoweza kubashirika za biashara. Furahia spreads za chini ambazo hubaki kuwa thabiti, hata wakati wa matoleo ya taarifa za kiuchumi na matukio ya soko.³
Execution ya haraka
Nufaika kutokana na mienendo ya bei ya mara kwa mara ya jozi maarufu zaidi za sarafu kwa execution ya haraka kabisa. Orders zako za biashara ya FX zitatekelezwa kwa milisekunde kwenye terminali zote zinazopatikana.
Elewa jinsi ya kufanya biashara ya forex
Angalia miongozo yetu ya kina ya biashara iliyoundwa ili kukusaidia kukabiliana na magumu ya soko la forex na kufungua siri za biashara ya sarafu.
Maswali yanayoulizwa sana
Je, ni jozi gani za sarafu maarufu zaidi za kutrade?
Jozi za sarafu ambazo ni maarufu zaidi za kutrade ni zile zinazotoa ukwasi zaidi - yaani zile ambazo watu hutrade zaidi.
Hizi ni pamoja na jozi kuu za FX kama vile AUDUSD, EURUSD, GBPUSD, NZDUSD, USDCAD, USDCHF, na USDJPY. Jozi hizi zote za biashara za sarafu zinapatikana kwa kutrade swap-free katika Exness, kwa hivyo unaweza kushikilia positions zako kwa muda mrefu bila malipo ya ziada.
Jozi zingine za sarafu maarufu ambazo traders wanapenda kuongeza kwenye portfolio zao ni jozi ndogo za FX. Hizi ni pamoja na AUDCAD, CADCHF, EURAUD, GBPCHF, na zaidi. Jozi nyingi ndogo za FX pia zinapatikana bila malipo ya usiku kucha katika Exness.
Unaweza kuona ni jozi gani ndogo haswa zilizojumuishwa katika mpango swap-free kwenye jedwali la instruments kwenye ukurasa huu.
Je, leverage katika biashara ya Forex ni nini?
Leverage ni uwezo wa kuweka trades kwa kutumia mtaji uliokopwa.
Broker wako hukupa aina ya mkopo ili kuongeza kwenye funds zako, ili uweze kutumia kiasi kidogo cha pesa zako, lakini bado ufikie trading positions kubwa.
Inapounganishwa na mkakati thabiti wa udhibiti wa hatari, leverage katika Forex inaweza kuleta faida kubwa kutoka kwa biashara ya FX, kwa sababu inafanya kuweka mtaji kwenye mienendo yenye bei ndogo kuwa na faida zaidi.
Lakini inaweza pia kusababisha hasara kubwa zaidi usipoiunganisha na mkakati mzuri wa kudhibiti hatari.
Ili kuepuka hasara nyingi na kuongeza uwezekano wako wa kupata faida kubwa zaidi, hakikisha kuwa unapanga mkakati wako wa hatari na kudumisha kiwango cha juu cha ufichuo kabla ya kuchagua option unayopendelea ya leverage.
Je, margin ni nini katika biashara ya Forex ya mtandaoni?
Margin katika biashara ya Forex ya mtandaoni ni kiasi cha pesa ambacho unahitaji kufungua position. Inafanya kazi kama dhamana dhidi ya mienendo yoyote ya bei.
Brokers wa forex kwa kawaida hubaini hii kama asilimia ya ukubwa wa jumla ya position, kulingana na leverage uliyochagua.
Ili kufungua biashara ya Forex mtandaoni, unahitaji kuwa na funds za kutosha katika akaunti yako ili kutimiza masharti ya margin ya trade hiyo.
Unaweza kupata udhibiti zaidi wa trades zako kwa kuweka margin level inayofaa ambayo inalingana na mkakati wako wa jumla wa kudhibiti hatari.
Je, equity ya akaunti yangu huathiri leverage ya juu zaidi ninayoweza kutumia?
Leverage ya juu zaidi unayoweza kutumia kwenye akaunti yako hutegemea equity ya akaunti yako:
0 – 999 USD: kiwango cha juu zaidi cha leverage 1:Bila kikomo
0 – 4,999 USD: kiwango cha juu zaidi cha leverage 1:2000
5,000 – 29,999 USD: kiwango cha juu zaidi cha leverage 1:1000
30,000 USD au zaidi: kiwango cha juu zaidi cha leverage 1:500
Je, kwa nini kuna masharti ya juu ya margin wakati wa habari?
Wakati habari muhimu zinatolewa, kubadilikabadilika ghafla na gaps zinaweza kuwepo. Kutumia kiwango cha juu cha leverage katika soko linalobadilikabadilika ghafla ni hatari kwa sababu mabadiliko ya ghafla yanaweza kusababisha hasara kubwa. Ndiyo maana tunaweka kikomo cha leverage cha 1:200 wakati wa kutolewa kwa habari kwa positions zote mipya za instruments zilizoathiriwa.
Katika hali ambapo vipindi hivi vya ongezeko la masharti ya margin kwa matoleo tofauti ya habari vimetengana kwa chini ya dakika 15, vipindi hivi vinaweza kuunganishwa na kuwa kipindi kimoja kirefu kwa instruments zinazohusika. Utapokea barua pepe kutoka kwetu kukupa maelezo kamili ya mabadiliko ya masharti ya margin kwenye jukwaa lako la biashara.
Wakati muda uliowekwa umepita, margin ya positions wazi wakati wa kipindi hicho hukokotolewa upya kulingana na kiasi cha funds kwenye akaunti na thamani iliyochaguliwa ya kiwango cha leverage.
Je, masharti ya margin hubadilika kukikaribia wikendi na sikukuu?
Sheria ya ongezeko la margin pia inatumika kwa biashara zote za forex zinazofanyika wikendi. Instruments zote katika kipindi hiki zinategemea kiwango cha juu zaidi cha leverage cha 1:200. Sikukuu huwa na utofauti kidogo kwani ni instruments na masoko fulani pekee ndiyo yanayoweza kuathiriwa na sheria hii. Kukiwa mabadiliko katika masharti ya margin kutokana na likizo, tutakujulisha kupitia barua pepe.
Je, kipindi cha wikendi cha masharti ya margin yaliyoongezeka huanza na kuisha lini?
Masharti ya margin ya ufunguzi wa positions mpya yatakokotolewa kwa kiwango cha juu zaidi cha leverage cha 1:200 kuanzia Ijumaa saa 19:00 GMT (saa tatu kabla ya soko la forex kufungwa) hadi Jumapili saa 23:00 GMT (saa moja baada ya soko kufunguliwa).
Kwa saa moja baada ya soko kufunguliwa, positions zako zitasalia katika mahitaji ya margin yaliyoongezeka.
Saa moja baada ya soko kufunguliwa, margin ya positions zilizofunguliwa katika kipindi cha mahitaji ya margin yaliyoongezeka hukokotolewa upya kulingana na kiasi cha funds katika akaunti yako na leverage ulioweka.
Fanya biashara ya forex
Tumia soko kubwa zaidi la kifedha duniani