Programu ya Metatrader 4

Fanya trade popote ulipo ukitumia programu maarufu na inayofaa mtumiaji ya MT4

Furahia urahisi wa kufanya biashara kwenye kifaa cha mkononi ukitumia programu ya kiwango cha juu zaidi duniani ya biashara, MetaTrader 4 ya Android na MetaTrader 4 ya iOS. Jiunge na mamilioni ya traders wanaochagua programu maarufu ya MT4 ya kifaa cha mkononi na unufaike zaidi katika Exness.

Chunguza vipengele vilivyojaribiwa kwa muda mrefu na vinavyoaminiwa kwenye MT4 ya kifaa cha mkononi

Furahia programu hii ya biashara inayofaa mtumiaji na inayoaminiwa yenye vipengele vilivyojaribiwa kwa muda mrefu kama vile indicators za kiwango cha juu za biashara, chati za kawaida, zana za uchanganuzi na zaidi, zinazofaa kwa viwango vyote vya biashara na mikakati ya biashara ya mtandaoni.

Habari za soko la kifedha

Pata habari na matukio mapya yanayoathiri mwenendo wa soko.

Aina zote za muhimu za order

Ukiwa na programu ya MT4 unaweza kutumia aina zote muhimu za order na njia za execution.

Historia ya order

Fikia historia yako ya biashara kwa ubashiri na kufanya maamuzi bora.

Ufikiaji wa instruments zote za biashara

Chagua kutoka kwa orodha ndefu ya instruments za CFD zinazopatikana kupitia Exness ili ununue na uuze kwenye programu ya kifaa cha mkononi ya MetaTrader 4 kwenye iOS na Android. Kuanzia forex hadi stocks, fahirisi, indices na crypto.

XAUUSD

Dhahabu ikilinganishwa na Dola ya Marekani

EURUSD

Euro ikilinganishwa na Dola ya Marekani

GBPUSD

Pauni ya Uingereza ikilinganishwa na Dola ya Marekani

US30

Index 30 za Wall Street ya Marekani

US500

Index 500 za SPX za Marekani

TSLA

Tesla Inc.

AAPL

Apple Inc.

USDJPY

Dola ya Marekani ikilinganishwa na Yen ya Japani

XNGUSD

Gesi ya Asili ikilinganishwa na Dola ya Marekani

BTCUSD

Bitcoin ikilinganishwa na Dola ya Marekani

ETHUSD

Ethereum ikilinganishwa na Dola ya Marekani

USOIL

Mafuta Ghafi

XAUUSD

Dhahabu ikilinganishwa na Dola ya Marekani

EURUSD

Euro ikilinganishwa na Dola ya Marekani

GBPUSD

Pauni ya Uingereza ikilinganishwa na Dola ya Marekani

US30

Index 30 za Wall Street ya Marekani

US500

Index 500 za SPX za Marekani

TSLA

Tesla Inc.

AAPL

Apple Inc.

USDJPY

Dola ya Marekani ikilinganishwa na Yen ya Japani

XNGUSD

Gesi ya Asili ikilinganishwa na Dola ya Marekani

BTCUSD

Bitcoin ikilinganishwa na Dola ya Marekani

ETHUSD

Ethereum ikilinganishwa na Dola ya Marekani

USOIL

Mafuta Ghafi

Uchanganuzi wa kina

Ikiwa na zaidi ya indicators 40 zilizosanidiwa ndani, indicators zinazoweza kuwekewa mapendeleo na kalenda ya kiuchumi, programu ya MetaTrader 4 ndilo jukwaa ambalo traders wenye uzoefu wanapendelea. Takriban kila kipengele cha chati kinaweza kurekebishwa upendavyo na miunganisho mingi ya indicators inapatikana.

Aina 3 za chati

Tumia chati za baa, vinara vya Kijapani na chati za mstari ili kukusaidia katika trades zako.

Indicators 30 za kiwango cha juu

Nufaika kutokana na indicators maarufu za kiufundi zinazotumiwa na traders wa viwango vyote.

Zana 24 za uchanganuzi

Tumia mistaru, chaneli, maumbo ya kijiometri na zana za Elliott ili kujua wakati wa kufungua na kufunga trade.

Kwa nini ufanye trade kwenye programu ya MetaTrader 4 katika Exness

Furahia kutrade kwenye jukwaa hili lililojaribiwa kwa muda mrefu na lililo rahisi kutumia la biashara la kifaa cha mkononi, na broker anayeaminiwa na traders 800,000. Fikia masoko mbalimbali ya kifedha na execution ya wakati halisi ili ufanye trade wakati wowote, popote ulipo.

Kutoa pesa papo hapo

Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹

Execution ya kasi ya juu

Kuwa mbele ya trends kwa execution ya haraka sana. Orders zako zitatekelezwa katika milisekunde kwenye majukwaa yote yanayopatikana katika Exness.

Ulinzi Dhidi ya Stop Out

Furahia Ulinzi wa kipekee dhidi ya Stop Out unapofanya trade katika Exness, ukiimarisha positions zako wakati wa kuongezeka kwa volatility.

Maswali yanayoulizwa sana


Programu ya MetaTrader 4 ni ya kufanya biashara pekee. Udhibiti wa akaunti, uwekaji na utoaji pesa unapatikana katika Eneo lako la Binafsi.


Kwa watumiaji MetaTrader 5 na Metatrader 4 ya iOS na Metatrader 4 ya Android za kifaa cha mkononi, maudhui yanaweza kuwezeshwa chini ya “Mipangilio” > “Habari”. Kumbuka kwamba ikiwa unatumia akaunti ya kutrade ya demo bila malipo au akaunti ya Standard Cent, ni vichwa vya habari pekee vitakavyoonekana, si makala yote.


Kujisajili kupokea ishara za biashara kwenye programu ya kifaa cha mkononi ya MT4 na MT5 kunahusisha kufungua programu, kuenda kwenye “Mipangilio”, kuchagua “Ishara za Biashara”, na kuingia kwenye akaunti yako ya MQL5.


Ndiyo, hata hivyo, unaweza kutumia tu indicators ambazo tayari zimesakinishwa kwenye jukwaa la biashara la kifaa cha mkononi. Kwa sasa hauwezi kusakinisha indicators maalum za uchanganuzi wa kiufundi. Ikiwa unategemea indicators maalum, unashauriwa uendelee kutrade kwenye terminali ya kompyuta ya mezani.


Anza kutrade leo katika MT4 ya iOS au MT4 ya Android

Jionee mwenyewe kwa nini mamilioni huchagua kutrade kwa kutumia programu ya MetaTrader 4.