Je, kwa nini uchague Exness

Imarisha mkakati wako wa biashara kupitia hali za bora kuliko za soko.

Fanya biashara kwa faida zaidi

Masharti yetu ya kiwango cha juu ya biashara, vipengele vya biashara na ulinzi wetu huupa mkakati wako faida inayostahili.

Spreads¹ bora zaidi kwenye dhahabu

Soko la dhahabu linapobadilika, bei zetu hubaki chini na thabiti.

Ulinzi dhidi ya Stop Out

Furahia stopouts zilizopunguzwa kwa kutumia kipengele cha ulinzi cha kipekee kilichoundwa ili kuchelewesha au kuepuka kabisa stop out.

Hakuna ada za usiku kucha

Shikilia positions za usiku kucha bila malipo kwa jozi zote kuu za FX, jozi nyingi ndogo FX, dhahabu, crypto na indices.

Execution ya kasi ya juu sana

Tekeleza biashara katika milisekunde kwenye mifumo ya MetaTrader na Terminali zetu za Exness.

Kiwango cha stop out cha 0%

Kaa sokoni kwa muda mrefu ukiwa na stop out ya margin level ya 0% kwenye akaunti zote.

Leverage inayoweza kuwekewa mapendeleo

Rekebisha leverage yako ili iendane na mkakati wako wa kudhibiti hatari kwa kutumia leverage inayoweza kubadilika ya 1:isiyo na kikomo.

Pesa yako ni yako. Bila shaka.

Fikia funds zako kwa wakati wowote, kwa njia yoyote bila ada za ziada.

Utoaji fedha wa papo hapo²

Hatua za utoaji fedha huchakatwa kwa sekunde, hivyo kukupa ufikiaji wa funds zako, hata katika wikendi.

Hakuna ada za transaction³

Tunalipa ada zako za transaction za wahusika wengine kwa hivyo huhitajiki kulipa.

Optons za malipo za kieneo

Ukiwa na watoa huduma wengi wa malipo wa kieneo na kimataifa, una uhuru wa kuchagua.

Una fursa na mahali pasipo na hatari

Funds na data zako ziko salama kila wakati. Ukiwa na Exness unalindwa na itifaki za tasnia za kiwango cha juu.

Mbinu za biashara zenye uwazi

Jaribu mkakati wako wa biashara kwa historia yetu kamili ya tick. Jionee jinsi bei na execution yetu inavyoweza kutegemewa.

Leseni nyingi za udhibiti

Tumepewa leseni na kudhibitiwa na bodi zinazoongoza za kimataifa. Fanya biashara ukiwa na uhakika kuwa data yako ya kifedha inalindwa.

Akaunti zilizotengwa

Pesa zako huwekwa kwa akaunti tofauti na funds za kampuni kila wakati, kwa hivyo utakuwa na uwezo wa kuzifikia kila wakati. Bila visingizio.

Zingatia kufanya biashara. Tutashughulikia mengine.

Wewe shughulika na instruments za kutrade na wakati wa kutrade. Tunajitahidi kupunguza gharama na kuboresha execution yako.

Gharama za chini za biashara

Furahia ada na viwango vya spread vya chini zaidi kwenye soko.

Hakuna athari ya soko

Fanya biashara ya orders kubwa na spreads na bei sawa na traders wengine wote.

Utekelezaji bora wa biashara

Nufaika na mchakato wetu wa utekelezaji wa biashara na liquidity iliyohakikishwa.

Fanya biashara na broker anayeaminika leo

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.

  1. Spreads bora zaidi inarejelea spreads za wastani au za juu zaidi zinazotolewa na Exness, bila kujumuisha ada ya mawakala ya XAUUSD kwa sekunde mbili za kwanza baada ya habari zenye athari ya juu, kuanzia Januari hadi Mei 2024, ikilinganishwa na brokers wengine wakuu watano.
  2. Katika Exness, 95% ya hatua za utoaji fedha huchakatwa papo hapo (chini ya dakika 1). Funds zako zikiondoka chini ya ulinzi wetu, ni wajibu wa mtoa huduma wako wa malipo uliyemchagua kuchakata funds hizo na kuziweka kwenye akaunti yako.
  3. Ada za uwekezaji pesa zinaweza kutumika kwa mbinu mahususi za malipo ili kudumisha uadilifu wa michakato yetu ya malipo.
  4. Spreads zinaweza kubadilika na kupanuka kutokana na sababu kama vile volatility ya soko, matoleo ya habari, matukio ya kiuchumi, wakati masoko yanafunguliwa au kufungwa na aina ya instruments vinazofanyiwa trade.