Boresha jinsi unafanya trade

Fanya biashara na broker mkubwa zaidi wa rejareja duniani na ufaidike na masharti bora kuliko za soko.

Traders zaidi ya 800,000 wanaoendeleza biashara

Leseni nyingi za udhibiti

Huduma kwa mteja ya 24/7 kwa lugha nyingi

Imeidhinishwa na PCI DSS

Nufaika kwenye masoko ya dhahabu na mafuta

Masharti ya biashara yanaweza kuunda au kuharibu mkakati, ndiyo sababu unahitaji masharti bora zaidi.

Utoaji fedha

Utoaji fedha wa papo hapo

Pata uidhinishaji wa hatua zako za uwekaji na utoaji fedha pindi utakapobofya kitufe.¹

Spreads

Spreads⁴ bora zaidi kwenye dhahabu

Fanya trade kwa spreads ndogo na thabiti zaidi kwenye soko.

Support

Usaidizi wa moja kwa moja wa 24/7

Pata majibu baada ya muda mfupi. Wasiliana na timu yetu ya usaidizi 24/7 kupitia simu, barua pepe, au gumzo la moja kwa moja.

Kasi ya execution

Execution ya haraka zaidi

Fanya biashara online bila malengo yanayokinzana

Swaps

Hakuna ada za usiku kucha

Shikilia positions zako zenye leverage kwa muda upendao, swap-free. Sheria na masharti hutumika.

Majukwaa

Majukwaa ya kutegemewa

Pata uzoefu wa kipekee katika utulivu na kasi ya execution. Haijalishi ukubwa wa order yako.

Fanya biashara ya mali kutoka kwa masoko ya kimataifa

Nufaika na kila fursa ukitumia mali maarufu zaidi ulimwenguni.

InstrumentsLeverageSpread wastani³, pipsSwap-free

XAUUSD

Dhahabu ikilinganishwa na Dola ya Marekani

Metali

USOIL

Mafuta Ghafi

Nishati

EURUSD

Euro ikilinganishwa na Dola ya Marekani

Sarafu

US30

Index 30 za Wall Street ya Marekani

Fahirisi

AAPL

Apple Inc.

Hisa

Chukua fursa yoyote

Fanya biashara online kwa wakati wowote, mahali popote. Kwenye tovuti, kifaa cha mkononi na kompyuta ya mezani.

Tunaupa usalama wako kipaumbele

Kuanzia kwa malipo salama hadi ulinzi dhidi ya salio hasi, unalindwa kutoka kila pembe.

Fanya biashara na broker anayeaminika leo

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.